Thursday 11 April 2013

UTAJIFUNZA KUWA MTU MWENYE SIRI

Katika mambo yote ambayo utakuwa unayafanya ,utanatakiwa kuwa mtu mwenye siri,utajiri ambao utakuwa nao hupaswi kumnenea mtu juu ya utajiri wako katika ukoo wako au jamaa zako au mke wako ,maendeleo yako utashangaza watu wengi hivyo utawekewa ulinzi mkubwa katika vitu amabvyo unavimiliki duniani ambavyo vitakuwa chini ya freemason  na kuwa maarufu duniani na kupendwa na watu mbalimbali.

No comments:

Post a Comment