Thursday 11 April 2013

UKIJIUNGA NA FREEMASON UTAKUWA MTU WA AINA GANI

Utakuwa mtu maarufu sana duniani na utatembelea nchi mbali mbali bila pingamizi la aina yoyote na utashiriki vikao vya kidunia vya freemason katika nchi mbalimbali kwa ajili ya kujua mambo mbali mbali yaliyo katika utawala wetu na kuwatambua viongozi wa sasa na wa zamani .Vikao hivi humuwezesha mwanachama kuwa na kipato kikubwa zaidi ili kuweza kumudu miradi uliyonayo na kutoa taarifa zaidi ya miradi yako na mahali unahitaji kurekebishwa


No comments:

Post a Comment