Tuesday 9 April 2013

KUJIUNGA NA FREE MASON


Freemasonry ni umoja wa kiimani wa hiari unaoundwa na watu wenye nia njema.tabia njema na umaarufu ambao waumini wanaamini kwa muumba na kushirikiana dunia nzima miongoni mwa waamini


MALENGO YETU:
Free masons tunasaidia kuifanya dunia iwe mahali bora pa kuishi na kuboresha maisha ya binadamu


KANUNI:

Utafundishwa kuwa na upendo kwa binadamu wote pasipo kubagua na pia utapata msaada kwa wale wenye shida na pia utafundishwa kuwa raia mwema

No comments:

Post a Comment