Thursday 11 April 2013

UKIJIUNGA KUNA KUAPISHWA

Kuna sehemu maalum ya kula kiapo baada ya kujiunga na freemason,sehemu hii mwanachama huvalia mavazi rasmi ambayo ataapishwa na mkuu wa freemason na kukabidhiwa nguvu mpya za kuwa freemason na kuwa jasiri na mkakamavu na kuvalishwajoho takatifu na fimbo ya dhahabu na vifaa maalumu vya kutumia wakati akiwa anahudhuria vikao vya kidunia vya freemason.

No comments:

Post a Comment