Thursday 11 April 2013

FREEMASON HUWA KUNA KAFARA YA KUUWA ?

Freemason in viwango mbalimbali vya utajiri ambao utaumiliki wewe
  1. Kuna utajiri wa kuua ambao humfanya mtu awe bilionea
  2. Kuna utajiri wa kafara za magari ambao humfanya mtu tilionea
  3. kuna utajiri wa kafara za wanyama ambao humfanya mtu milionea
Aina hizi za utajiri inategemea viwango vyako unavyohitaji wewe mwenyewe na wala hulazimishwi na kila mwaka unaweka nadhiri ya kurudia nadhari uliiyoweka kama utakuwa na maamuzi ya kuendelea au kubadilisha kuingia nazili ingine ni wewe tu.kuna nadhili 20 ambazo zinaenda na viwango

No comments:

Post a Comment