Thursday 11 April 2013

KUHUSU DINI ULIYONAYO

Freemason itakubadili dini bali lengo lao ni kuhakikisha kila mwanachama anakuwa bilionea au tilionea kwa viwango vikubwa vya kidunia na ikiwezekana kuwa kiongozi wa nchi, ni kuwa tu makini na kazi zetu na kuwa mtu mwenye afya bora na kuendelea kumuabudu mungu kupitia dini yako uliyonayo.Freemason tunapokutana katika makanisa yetu huwa mara nyingi ni kwaajili ya kusoma alama ya nyakati tulizonazo kulingaana na wageni wanaokuwa katika ziara za nchi na huwa ni wengi mno katika mizunguko wa vikao vyetu na hivyo ruzuku ya pesa tunachukua kwa siri ambayo tumetokanayo katika nchi tuliyotoka.

No comments:

Post a Comment